Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Maofisa na Askari Magereza wa Gereza Kuu la Mkoa wa
Dodoma la Isanga baada ya kulitembelea Oktoba 5, 2016. Kushoto kwake ni
Mwenyekiti wa Taifa wa Parole Augusine Mrema, kulia kwake ni Mkuu wa
mkoa wa Dodoma na aliyekaa kushoto ni Mkuu wa Magereza wa mkoa wa
Dodoma, SACP Kirumbi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mofisa wa Magereza wakati alipotembelea Gereza Kuu la
Mkoa wa Dodoma la Isanga mjini Dodoma Oktoba 5, 2016. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Maofisa na Askari Magereza wa Gereza Kuu la Mkoa wa
Dodoma la Isanga baada ya kulitembelea Oktoba 5, 2016. Kushoto kwake ni
Mwenyekiti wa Taifa wa Parole Augustine Mrema, kulia kwake ni Mkuu wa
mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana na aliyekaa kushoto ni Mkuu wa
Magereza wa mkoa wa Dodoma, SACP Kirumbi. Aliyekaa kulia ni Mkuu wa
Wilaya ya Dodoma, Christina Mndeme. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akitoka kwenye Gereza Kuu la Mkoa wa Dodoma la Isanga wakati
alipolitembelea mjini Dodoma Oktoba 5, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Maofisa na Askari Magereza wa Gereza Kuu la Mkoa wa
Dodoma la Isanga baada ya kulitembelea Oktoba 5, 2016. Kushoto kwake ni
Mwenyekiti wa Taifa wa Parole Augustine Mrema, kulia kwake ni Mkuu wa
mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana na aliyekaa kushoto ni Mkuu wa
Magereza wa mkoa wa Dodoma, SACP Kirumbi. Aliyekaa kulia ni Mkuu wa
Wilaya ya Dodoma, Christina Mndeme. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Askari Magereza wakimsikiliza
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kati alipowasilimia baada ya kutembelea
Gereza Kuu la Mkoa wa Dodoma Isanga mjini Dodoma Oktoba 5, 2016. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mofisa wa Magereza wakati alipotembelea Gereza Kuu la
Mkoa wa Dodoma la Isanga mjini Dodoma Oktoba 5, 2016. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment