Kaimu Mkurugenzi Idara ya
Maendeleo ya Michezo Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bw.
Alex Nkenyenge akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani)
katika uzinduzi wa mashindano ya mbio za Kili Marathon Oktoba 12
Jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Idara ya
Maendeleo ya Michezo Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bw.
Alex Nkenyenge (katikati ) akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo
pichani) kuashiria uzinduzi wa mashindano ya mbio za Kili Marathon
Oktoba 12 Jijini Dar es Salaam.
Afisa Masoko kutoka kampuni ya
Gapco Tanzania Bibi.Cariline Kakwezi akitoa maelezo kuhusu udhamini wao
katika mashindano ya Kili Marathon wakati wa uzinduzi wa mbio hizo
Oktoba 12, 2016 Jijini Dar es Salaam.
Kikundi cha ngoma kutoka Dar es
Salaam kikitoa burudani kwa wageni waalikwa na waandishi wa Habari (
hawapo pichani) katika uzinduzi wa mashindano ya mbio za Kilimarathon
Oktoba 12, 2016 Jijini Dar es Salaam.
PICHA zote na Shamimu Nyaki WHUSM
No comments:
Post a Comment