Watu 11 wafariki Basi la Super Shem, kugongana na Hiace alfajiri ya leo.
Watu 11 wafariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya basi la Super Shem, kugongana na Hiace alfajiri ya leo. - Basi lilikuwa linatoka Mbeya kwenda Mwanza na Hiace ilikuwa inatoka kijijini Shilima Mwanza.
No comments:
Post a Comment