Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongozana na Waziri wa Ardhi Mhe John
Lukuvi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul makonda, Mkuu wa wilaya
ya Kinondoni Mhe Ali Hapi na viongozi wengine akitembelea eneo
lililokuwa Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na mwenyekiti wa
waliokuwa wakaazi wa nyumba za Magomeni Kota Bw. George Abdi wakati
alipotembelea na kuongea na wakaazi hao wa Magomeni Kota jijini Dar es
salaam leo Septemba 6, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia alipotembelea na kuongea
na wakaazi wa Magomeni Kota wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam
leo Septemba 6, 2016
Wananchi wakimshangilia Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono
na mwenyekiti wa waliokuwa wakaazi wa nyumba za Magomeni Kota Bw.
George Abdi wakati alipotembelea na kuongea na wakaazi hao wa Magomeni
Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016
Wananchi wakimshangilia Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono
na mwenyekiti wa waliokuwa wakaazi wa nyumba za Magomeni Kota Bw.
George Abdi wakati alipotembelea na kuongea na wakaazi hao wa Magomeni
Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016
Kiongozi wa wakaazi wa nyumba za
Magomeni Kota Bi Mwajuma Sama akiongea machache na kuomba dua Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea
na kuongea na wakaazi hao wa Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo
Septemba 6, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimfariji Bi. Mwajuma Sama kwa
taabu walizopata yeye kiongozi na wakaazi wenzie wa Magomeni Kota
jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimshukuru wakili Twaha Taslima wa
Law Chambers kwa kusimamia vyema maswala ya mgogoro wa eneo iliyokuwa
Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisindikizwa na Meya wa Kinondoni
Mstahiki Boniface Jacob alipotembelea na kuongea na wakaazi wa
iliyokuwa Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment