Namna ya kupata ngozi nzuri & kupunguza unene
Fruit infused water/ maji yaliyokatiwa matunda, ni bora kunywa haya maji
instead of soda. Fruit infused water ina benefits nyingi sana kama vile
kupunguza tumbo, kupunguza mafuta mwilini, kufanya ngozi iwe nzuri na
kuisafisha. Kuna recipes nyingi sana za fruit infused water ambazo
zinaleta matokeo tofauti.
Ukishaweka maji na tunda/matunda unayoyataka weka kwenye fridge kwa masaa 8 ndio uanze kunywa.
Kupunguza uzito, changanya limao/ndimu pamoja na tango. Katakata slice kama hizo kisha weka kwenye maji.
strawberry, ndimu/limao & tango
K
usafisha mwili tumia machungwa, apples, watermelon/tikiti maji, zabibu
K
wa ufupi unaweza kutengeneza infused water for better health au beauty
kwa kutumia matunda yoyote. Tafuta ladha unayoipenda kwa kujaribu kumix
matunda tofauti tofauti.
Unaweza ukanywa muda wowote ule as long as unaacha ikae kwanza masaa 8 baada ya kutengeneza.
Jaribu kutafuta jar au chupa special kwa kutunzia hii..zinakuwaga na
mirija yake kama unatumia peke yako lakini kama unatumia na familia
nzima tengeneza tu kwenye jug kubwa na uitunze kwenye fridge.
Other recipes za fruit infused water ni kama::
pineapple/nanasi,chungwa/orange & ginger/tangawizi
strawberry, mint & lemon
No comments:
Post a Comment