Saturday, 3 September 2016

Mzee Yusuf Aenda Maka kuhiji

Baada ya kutubu kwa yale aliyokuwa akiyafanya Mzee Yusuf sasa aenda kuhiji MAKA hii inadhihirisha kuwa Mzee Yusuf kaamua kweli kuachana na maswala ya Muziki.. Mwenyezi Mungu amuongoze zaidi Amin

No comments:

Post a Comment