Monday, 19 September 2016

Mwamunyange apokea Wanajeshi kutoka China waliomtembelea ofisi kwake makao makuu ya Jeshi

dv1
MKUU WA TAWI LA UGAVI WA JESHI LA CHINA LUTENI JENERALI LIU SHENGJIE AKIPOKEA ZAWADI YA NEMBO YA JWTZ  KUTOKA KWA MKUU WA MAJESHI YA ULINZI JENERALI DAVIS MWAMUNYANGE (KULIA) ALIPOMTEMBELEA  OFISINI KWAKE  MAKAO MAKUU YA JESHI JIJINI DAR ES SALAAM. .(Picha na  Luteni Selemani Semunyu)
dv2
MKUU WA MAJESHI YA ULINZI JENERALI DAVIS MWAMUNYANGE (KULIA) AKIPOKEA ZAWADI YA NEMBO YA JESHI LA CHINA KUTOKA KWA MKUU WA TAWI LA UGAVI WA CHINA LUTENI JENERALI LIU SHENGJIE ALIPOMTEMBELEA  OFISINI KWAKE  MAKAO MAKUU YA JESHI JIJINI DAR ES SALAAM.(Picha na  Luteni Selemani Semunyu)
dv3
MKUU WA MAJESHI YA ULINZI JENERALI DAVIS MWAMUNYANGE AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA UJUMBE WA MAOFISA WA JESHI TOKA CHINA UKIONGOZWA NA MKUU WA UGAVI WA JESHI HILO LUTENI JENERALI LIU SHENGJIE MARA BAADA YA KUMTEMBELEA OFISINI KWAKE MAKAO MAKUU YA JESHI JANA JIJINI DAR ES SALAAM. .(Picha na  Luteni Selemani Semunyu)

No comments:

Post a Comment