Mahakama
Kuu Kitengo cha Ardhi imeiamuru NHC kutouza au kupiga mnada mali za
Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe mpaka kesi ya msingi
itakapomalizika.
- Katika kesi hiyo, Jaji amesema kuwa, anakubaliana na maombi ya mlalamikaji na kutaka mali hizo zisiuzwe hadi hapo mahakama itakapofanyia uamuzi kesi ya msingi.

No comments:
Post a Comment