Wednesday, 14 September 2016

Lori laziba barabara Dar-Moro

Lori likiwa limeanguka na kuziba Barabara ya Dar es Salaam-Morogoro katika Kijiji cha Vigwaza mkoa wa Pwani na kusababisha usumbufu kwa watumiaji wengine wa njia hiyo.

No comments:

Post a Comment