Thursday, 8 September 2016

Jaji Mutungi akutana na viongozi wa CUF

  Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amekutana na viongozi wakuu wa CUF kujadili mgogoro wa kisiasa.

Jaji Mutungi amekutana na viongozi hao sasa hivi wakiwa wameongozwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya CUF, Julius Mtatiro.

Jaji Mutungi kasema kikao hicho ni cha ndani hivyo atatoa taarifa rasmi baada ya kumaliza vikao hivyo.

No comments:

Post a Comment