Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira, akizungumza na wakuu wa
Idara na vitengo vilivyopo chini ya wizara wakati wa mkutano wa
kujadili masuala ya kiutendaji katika wizara hiyo.Kulia ni Naibu Katibu
Mkuu, Balozi Simba Yahya.Mkutano huo umefanyika leo jijini Dar es
Salaam.
Wakuu wa Idara na Vitengo wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza Katibu Mkuu wa wizara
hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira, wakati wa mkutano wa kujadili
masuala ya kiutendaji katika wizara hiyo. Mkutano huo umefanyika leo
jijini Dar es Salaam.
Viongozi kutoka Idara za Wizara ya
Mambo ya Ndani, kutoka kulia ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza,
John Minja, Kamishna wa Operesheni Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,
Rogasius Kipali na Kamishna wa Fedha Jeshi la Polisi, Albert Nyamhanga,
wakimsikiliza Katibu Mkuu wa wizara, Meja Jenerali Projest
Rwegasira(hayupo pichani) wakati wa mkutano wa kujadili masuala ya
kiutendaji katika wizara hiyo. Mkutano huo umefanyika leo jijini Dar es
Salaam.(Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
No comments:
Post a Comment