Basi la New Force limepata ajali Watu 12 wamefariki na 19 kujeruhiwa
Watu 12 wamefariki na 19 kujeruhiwa baada ya basi la New Force
lililokuwa likitoka Dar kwenda Songea kupinduka eneo la Kifanya mkoani
Njombe. - Zoezi la uokoaji wa majeruhi na miili ya watu lilimalizika saa 8 usiku
No comments:
Post a Comment