AY: Nataka kuacha kufanyia video Afrika Kusini
Rapper Ambwene Yessayah aka AY amesema anataka kuacha kufanya
video zake nchini Afrika Kusini pamoja na kuanza kutumia waongozaji
wengine kabisa.
Akiongea kwenye kipindi cha Ngaz Kwa Ngaz cha Salama Jabir, Alhamis hii,
AY alisema video zinazofanywa Afrika Kusini zimeanza kufanana mno.
Alisema hiyo ni ndio sababu iliyomfanya afanye video tofauti ya wimbo
wake El Chapo iliyoongozwa na muongozaji wa Tanzania, Shedipro anayeishi
SA.
No comments:
Post a Comment