Sunday 21 May 2017

Rais Yoweri Museveni :Mimi ni zao la Mwalimu Nyerere

  Rais John Magufuli na Rais Yoweri Museveni wamesaini mkataba wa ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Ohima, Uganda hadi Tanga.
Akizungumza leo Ikulu wakati wa utiaji saini mkataba huo, Magufuli amesema walikuwepo matapeli wengi wakati wa mchakato wa ujenzi wa bomba hilo na kuwa anafurahia  zaidi kuingia mkataba huo na Uganda.

“Nina furaha sana, najua Museveni anaijua Tanzania, anajua vichochoro vyote  vya Ikulu na yeye ni zao la Mwalimu Nyerere,” amesema

No comments:

Post a Comment