Thursday 18 May 2017

Meya wa Jiji la Arusha na Waandishi wa habari 7 washikiliwa na Jeshi la polisi

  Image result for Calist Lazaro
Jeshi la polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia waandishi wa Habari saba wakiwa katika utekelezaji wao wa majukumu ya kazi pamoja na Meya wa Jiji la Arusha Calist Lazaro
Waandishi waliokamatwa
1 .Godfrey Thomas ayo tv
2.Alphonce kusaga Triple A
3.Filbert Rweyemamu mwananchi
4.Husein Tuta Itv
5.Joseph Ngilisho Sunrise radio
6.Geofrey Steven Radio 5
7.Janeth Mushi Mtanzania
8.Zephania Ubwani The Citizen
9.Elihuruma Yohani mwakilishi wa  Tanzania DaimDaima

No comments:

Post a Comment