Friday 19 May 2017

Kikosi cha Taifa Stars

MAYANGA SAFI
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Salum Mayanga
 Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Salum Mayanga leo amekitangaza rasmi kikosi chake chenye wachezaji 24 kwa ajili ya kuwania tiketi ya kushiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (COSOFA) dhidi ya Lesotho mwishoni mwa mwezi Juni mwaka huu
Aidha, kikosi hicho kina sura ya tofauti kabisa na kile walichokizoea mashabiki wa soka pamoja na watanzania huku kikiongozwa na Nahodha machachari Mbwana Samatta anayekipigia nchini Ubelgiji katika klabu ya KRC Genk.

Kikosi hicho kinajumuisha wachezaji wafuatao.
MAKIPA
1.Aishi Manula
2.Beno Kakolanya
3.Said Mohamed
WAZUIAJI
1.Shomar Kapombe
2.Hassani Ramadhani Kessy
3.Mwinyi Haji
4.Mohamed Hussein
5.Salim Abdalah
6.Agrey Moris

 
7.Abdi Banda
8.Erasto Nyoni
VIUNGO
1.Himid Mao
2.Jonas Mkude
3.Salum Abubakar
4.Said Ndemla
5.Mzamiru Yassin
6.Simon Msuva
7.Farid Musa
8.Shiza Kichuya
9.Thomas Ulimwengu
WASHAMBULIAJI
1.Mbwana Samata
2.Mbaraka Yusuph
3.Ibrahim Hajibu
4.Abdulrahiman Mussa

No comments:

Post a Comment