Saturday 6 May 2017

Mkutano wa Baraza la kumi la Biashara

MKU3 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara, Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Mkutano wa Baraza la kumi la Biashara Tanzania, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 6, 2017. Wengine ni Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa (kushoto), Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi (kulia) pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), Dkt. Reginald Mengi.
MKU2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara, Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Mkutano wa Baraza la kumi la Biashara Tanzania, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 6, 2017. Wengine ni Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa (kushoto), Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi (kulia) pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), Dkt. Reginald Mengi.
MKU5
MKU1
MKU4
Baadhi ya Mawaziri, pamoja na Wajumbe, wakimsikililiza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara, Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiongea katika Mkutano wa Baraza la kumi la Biashara Tanzania, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 6, 2017. PICHA NA IKULU
MKU6

No comments:

Post a Comment