Wazee Wastaafu Wanaweza Kuwa Mabilionea Na Kuibadilisha Nchi - Pspf
Kaimu Mkuu wa wilaya ya Lushoto ambaye ni Afisa Tarafa ya Lushoto,Asha
Kikoti akifungua mkutano wa uzinduzi wa chama cha wazee wastaafu
wilayani Lushoto kushoto ni MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF
hapa nchini, Adam Mayingu kulia kwake ni Mwenyekiti wa Chama cha Wazee
wilayani humo Paul Kirua.
MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF hapa nchini, Adam Mayingu akizungumza na wazee wastaafu wilayani Lushoto
Katibu Mkuu wa Chama cha wazee Wastaafu wilayani Lushoto (Chawasewili)
Paul Kirua akionyesha juu katiba ya Chama hicho mara baada ya
kukizunduawilayani humo kushoto ni MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Pensheni
wa PSPF hapa nchini, Adam Mayingu.
Wazee Wastaafu wilayani Lushoto wakimsikiliza kwa umakini Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF hapa nchini, Adam Mayingu
Wazee Wastaafu wilayani Lushoto wakimsikiliza kwa umakini Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF hapa nchini, Adam Mayingu.
No comments:
Post a Comment