
Kwa mujibu wa Billboard, kila show iliingiza wastani wa dola milioni 5.2 na kuhudhuriwa na watu 45,757. Show iliyoingiza fedha nyingi zaidi ni ya London kwenye uwanja wa Wembley July 2-3, ambapo Queen Bey aliingiza dola milioni $15.3 kwa kuuza tiketi 142,5000.
Kwa upande wa Marekani, show ya New York ndiyo iliingiza fedha nyingi zaidi, $11.5m kwa tiketi 73,486 kwenye show mbili.
No comments:
Post a Comment