
Balotell amefichua kwa kusema kwamba hakuwa na maelewaano mazuri na hapakuwa na uwezekano wowote kwake kurudi tena kucheza Anfield kutokana na uhusiano wake na Klopp.
“Klopp? Simjui mimi huyo mtu,” Balotelli aliiambia Sky Sport Italia. “Aliniambia tu niondoke Liverpool kwa mkopo na baadaye nikarejea kumwambia: ‘Asante sana, na kwaheri.’”

No comments:
Post a Comment