Saturday, 10 September 2016

Uteuzi wa Katibu Tawala na Wakurugenzi 13 wa Halmashauri mbalimbali.

 Image result for hudson kamoga
 Rais Magufuli amemteua Eliya Ntandu kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe. Pia amewateua Wakurugenzi 13 wa Halmashauri mbalimbali.
- Mtangazaji wa kipindi cha 360 cha Televisheni ya Clouds, Hudson Kamoga ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mbulu.

No comments:

Post a Comment