Wanasayansi kukuza viungo vya binadamu ndani ya nguruwe
Wanasayansi nchini
Marekani wanajaribu kukuza viungo vya binadamu ndani ya mwili wa
nguruwe, wakitumia teknolojia mpya inayofahamika kama 'Gene Editing'.
Hata hivyo teknolojia hiyo mpya inapingwa vikali na wanasayansi wengine kwa sababu ya maadili ya udaktari.
Wanasayansi hao wanadai kuwa huenda chembe chembe za binadamu zitakuwa na kufika kwenye ubongo wa nguruwe unaoendelea kukuwa
No comments:
Post a Comment