Saturday, 7 May 2016

Naibu Spika Tulia Ackson afungua semina kwa Wabunge kuhusu uelewa wa haki za Watu wenye Ulemavu

 
 Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Wenye Ulemavu), Dk Abdallah Possi (kulia), akiwasilisha mada katika semina ya Wabunge kukuza na kuimarisha usawa wa watu wenye ulemavu nchini, kwenye Ukumbi wa Bunge wa Msekwa mjini Dodoma jana. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Bukene, Seleman Zedi (CCM) na Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson.
Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson akifungua semina hiyo
Baadhi ya wabunge wakihudhuria kwenye semina hiyo
Zedi akiongoza majadiliana wakati wa semina hiyo

No comments:

Post a Comment