Tuesday 31 May 2016

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefungua mkutano wa ‘Africa World Heritage

  LIW1Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea Vitambu kutoka  Rais wa Bermuda Emmissions Control Limited, Bw. Donal Smith katika mkutano wa ‘Africa World Heritage’ aliounfungua kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Mei 31, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
LIW2Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea Vitambu kutoka  Rais wa Bermuda Emmissions Control Limited, Bw. Donal Smith katika mkutano wa ‘Africa World Heritage’ aliounfungua kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Mei 31, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
LAW11Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Bermuda Emmissions Control Limited, Bw. Donal Smith baada ya kufungua mkutano wa ‘Africa World Heritage’ kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Mei 31, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
LAW13Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wasanii waliojitokeza kumlaki wakati alipowasili kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) kufungua mkutano wa ‘Africa World Heritage’  mjini Arusha Mei 31, 2016. Kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
LIW3Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe wakati alipomkaribisha kufungua Mkutano wa “Afrca World Heritage’ kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa  cha Arusha  (AICC) Mei 31, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
LIW4Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akifungua mkutano wa ‘Africa World Heritage’ kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Mei 31, 2016. Kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumaane Maghembe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
LIW6 Baadhi ya Washiriki wa Mkutano wa  wa’ Africa World Heritage ‘ wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipofungua mkutano wao kwenye kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Mei 31, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
LIW7Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Mkutano wa ‘Africa World Heritage’  baada ya kuufungua kwenye kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Mei 31, 2016. Kulia kwake ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe na kushoto ni Mkuu wa Arusha, Felix Tibenda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
LAW8Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Mkutano wa ‘Africa World Heritage’  baada ya kuufungua kwenye kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Mei 31, 2016. Kulia kwake ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe na kushoto ni Mkuu wa Arusha, Felix Tibenda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
LAW9



No comments:

Post a Comment