Saturday 28 May 2016

Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira,Luhaga Mpina akishiriki kufanya usafi na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Udom


luh1Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira,Luhaga  Mpina akishiriki kufanya usafi na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Udom wakati usfi wa mazingira kitaifa iliyofanyika, 
Dodoma 
 
luh2 Luaga Mpina akiongozana  na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDOM wakati wa siku ya usafi wa Mazingira Kitaifa iliyofanyika eneo la Chuo hicho
luh3 Luaga Mpina akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDOM wakati siku ya usafi wa Mazingira Kitaifa iliyofanyika eneo la Chuo hicho jana


No comments:

Post a Comment