Miss Tanzania 2006 na muigizaji
wa filamu, ameanzisha mradi mpya alioupa jina ‘Wema na Jamii’ ambapo
ameanza kuzunguka kwenye shule mbalimbali jijini Dar es Salaam kuongea
na wanafunzi na kuwapa vitu mbalimbali.
Yeye mwenyewe anasema #WemaNaJamii #MkonoWaBaraka #MtotoWakoNiWangu.
No comments:
Post a Comment