Friday 27 May 2016

Matukio ya bungeni leo

H7Mbunge wa CHADEMA Jimbo la Mlimba, Mhe. Susan Kiwanga akiwasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge hilo leo 27 Mei, 2016.
 
H6Mbunge wa Viti Maalum CCM, Mhe. Martha Mlata (kushoto) akiwa ameongozana na Mbunge mwenzie wakiingia ndani ya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge hilo leo 27 Mei, 2016.
H5

H4Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (kushoto) akiwa ameongozana na Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Hamad Masauni wakiwasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge hilo leo 27 Mei, 2016.
H3 Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (kushoto) akiwa ameongozana na Mbunge mwenzie wakiwasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge hilo leo

PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA, MAELEZO-DODOMA

No comments:

Post a Comment