Maafisa nchini
Canada wanasema kuwa moto unaoendelea kuwaka katika mji mkuu wa
kuzalisha mafuta na vitongoji vyake wa Fort MucMurray utaongezeka
maradufu chini ya muda wa masaa 24 yajayo.
Kiwango na gharama ya hasara iliyopatikana kutokana na moto huo haijagharamiwa, lakini Serikali inasema kuwa zaidi ya nyumba 1,600 zimeteketea na kuwa malipo ya bima Yatagharimu mabilioni ya dola.
Maeneo mawili ya kuzoa changarawe yametishiwa na moto huo, ambao umesambaa katika Eneo linalozidi ekari 100,000.
No comments:
Post a Comment