Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya
CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia ngoma alipowasili katika
Ofisi za Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM mjini Dodoma leo Mei
7,2016 kwa ajili ya kufungua mkutano wa Baraza Kuu la UWT Taifa.
Wajumbe
wa Mkutano wa Baraza Kuu la UWT Taifa wakimsikiliza Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM
Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokua akifungua Mkutano wa Baraza Kuu
la UWT Taifa wenye lengo la kukumbushana katika majukumu ya kiutendaji
kwenye ngazi mbalimbali za Jumuiya hiyo pamoja na kumpongeza Makamu wa
Rais kwa kuchaguliwa Mwanamke wa kwanza katika Ngazi hiyo Kuu ya
kitaifa. Mkutano huo umefunguliwa leo Mei 7,2016 katika Ukumbi wa
Halmashauri Kuu ya CCM mjini
Wajumbe
wa Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la UWT Taifa wakimkabidhi zawadi za aina
mbalimbali Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya
kumpongeza kwa kuchaguliwa Mwanamke wa kwanza katika Ngazi Kuu ya
kitaifa wakati wa Mkutano wa Baraza Kuu la UWT Taifa uliofunguliwa leo
Mei 7,2016 katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya
CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano wa Baraza Kuu la
UWT Taifa wenye lengo la kukumbushana katika majukumu ya kiutendaji
kwenye ngazi mbalimbali za Jumuiya hiyo pamoja na kumpongeza Makamu wa
Rais kwa kuchaguliwa Mwanamke wa kwanza katika Ngazi hiyo Kuu ya
kitaifa. Mkutano huo umefunguliwa leo Mei 7,2016 katika Ukumbi wa
Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma.
Wajumbe
wa Mkutano wa Baraza Kuu la UWT Taifa wakimsikiliza Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM
Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokua akifungua Mkutano wa Baraza Kuu
la UWT Taifa wenye lengo la kukumbushana katika majukumu ya kiutendaji
kwenye ngazi mbalimbali za Jumuiya hiyo pamoja na kumpongeza Makamu wa
Rais kwa kuchaguliwa Mwanamke wa kwanza katika Ngazi hiyo Kuu ya
kitaifa. Mkutano huo umefunguliwa leo Mei 7,2016 katika Ukumbi wa
Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma.
Wajumbe
wa Mkutano wa Baraza Kuu la UWT Taifa wakimsikiliza Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM
Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokua akifungua Mkutano wa Baraza Kuu
la UWT Taifa wenye lengo la kukumbushana katika majukumu ya kiutendaji
kwenye ngazi mbalimbali za Jumuiya hiyo pamoja na kumpongeza Makamu wa
Rais kwa kuchaguliwa Mwanamke wa kwanza katika Ngazi hiyo Kuu ya
kitaifa. Mkutano huo umefunguliwa leo Mei 7,2016 katika Ukumbi wa
Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma.
Mjumbe
wa Mkutano wa Baraza Kuu la UWT Taifa Mama Lupembe akisalimiana na
kumpongeza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuchaguliwa
Mwanamke wa kwanza katika Ngazi Kuu ya kitaifa wakati wa Mkutano Mkuu
wa UWT Taifa uliofunguliwa leo Mei 7,2016 katika ukumbi wa Halmashauri
Kuu ya CCM Mjini Dodoma.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya
CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mwenyekiti wa CCM
Mkoa wa Dodoma Mhe. Adam Kimbisa kabla ya kufungua Semina ya Mafunzo kwa
ajili ya kuwajengea Uwezo Viongozi na Mkada wa Chma cha Mapinduzi
iliyofunguliwa leo Mei 7,2016 katika Ukumbi wa MORENA Mjini Dodoma.
(Picha na OMR)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya
CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Semina ya Mafunzo kwa
ajili ya kuwajengea Uwezo Viongozi na Makada wa Chama cha Mapinduzi CCM
iliyofunguliwa leo Mei 7,2016 katika ukumbi wa MORENA Mjini Dodoma.akamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya
CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati akiwa bkatika picha ya
pamoja na Viongozi na Makada wa Chama cha Mapinduzi CCM baada ya
kufungua Semina ya Mafunzo kwa ajili ya kuwajengea Uwezo Viongozi na
Makada wa Chama cha Mapinduzi CCM iliyofunguliwa leo Mei 7,2016 katika
ukumbi wa MORENA Mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment