Saturday 20 December 2014

uharibifu wa mazingira

Zaidi ya miaka themanini baada ya kuondoka katita magodi ya Wallaroo (Kadina, Australia kusini), vigoga vinabakia tu kama uoto pekee katika eneo hili.

Uharibifu wa mazingira ni uzoreteshaji wa mazingira kwa njia ya kupunguza kwa rasilimali kama vile hewa, maji na udongo; uharibifu wa mazingira na kupotea kwa wanyamapori.[onesha uthibitisho]
Uharibifu wa mazingira ni moja ya vitisho kumi yalioonywa na Jopo la juu la tisho kuu katika Umoja wa Mataifa. Shirika la rslimali ulimwenguni {Umoja wa Mataifa wa Mpango wa Mazingira, Umoja wa Mataifa wa Maendeleo na Benki ya Dunia zimetoa ripoti kwa umma kuhusu afya na mazingira duniani tarehe 1 Mei 1998.
Uharibifu wa mazingira ni wa aina nyingi. Wakati ni makazi asili yanaharibiwa au maliasili kutumiwa vibaya,tunasema kuwa mazingira yanaharibiwa.
Mabadiliko ya mazingira na afya ya binadamu ,sehemu maalum katika Raslimali za Dunia 1998-99 katika ripoti hii inaeleza jinsi magonjwa yanyo uwezo wa kuzuiwa na vifo vya mapema bado huzidi kuongezeka kwa idadi kubwa . Ikiwa kuna marekebisho makubwa katika afya ya binadamu mamilioni afya ya binadamu, mamilioni ya watu watakuwa wangeishi kwa muda mrefu,na maisha yenye afya nzuri kuliko awali. Katika maeneo masikini katika dunia inakadiriwa kuwa mmoja katika watoto watano hawataishi kuona siku yao ya kuzaliwa ya tano, hasa kwa sababu ya magonjwa yanayohusiana na mazingira. Watoto Milioni kumi na moja duniani kote hufa kila mwaka, sawa na wakazi wa Norway na Uswisi, wakiunganishwa na hasa kutokana na malaria, mashida ya kupumua au kuhara - magonjwa ambayo yanaweza kukingwa.

No comments:

Post a Comment