Tuesday 23 December 2014

MAKAZI


MakaziLicha ya wakazi wa Jangwani waishio pembezoni mwa mto Msimbazi kupigwa marufuku na Serikali kuendelea kuishi eneo hilo kutokana na kukumbwa na mafuriko yatokanayo na mvua za masika, bado baadhi ya wakazi hao wameendelea na maisha yao pasipokuwa na wasiwasi kama alivyokutwa mkazi huyu Dar es Salaam jana

No comments:

Post a Comment