Bondia wa zamani
kutoka nchini Uingereza Lenox Lewis amesema kuwa Amir Khan anaweza
kumshangaza Saul Canelo Alvarez siku ya Jumamosi iwapo atacheza mchezo
wake.
Katika onyesho la upimaji uzani wawili hao walikuwa na kilogramu 70.
''Khan anaweza kushinda iwapo hatamruhusu Canelo kumfikia karibu.Khan ni bondia mzuri ,anatembea vizuri katika jukwaa na kurusha ngumu nzuri,Lakini atahitaji kudhibiti
Matembezi yake dhidi ya Canelo sio kukimbia bila mpango.Na pia lazima ujue kwamba sio Yeye pekee ataingia ulingoni na mkufunzi wake''.
No comments:
Post a Comment