Mkuu
wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla akihutubia wadau wa michezo na wanafunzi
wakati wa Uzinduzi wa mashindano ua UMISSETA ambayo mwaka huu
yamedhaminiwa na kampuni ya Coca Cola.Uzinduzi huo ulifanyika katika
uwanja wa Sokoine ambapo kulifanyika michezo mbalimbali na burudani za
kila aina zilikuwepo.
Meneja
wa Kiwanda cha Coca Cola tawi la Mbeya, Gary pay (kulia) akiteta jambo
na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla ndani ya Uwanja wa Sokoine Mbeya
kwenye uzinduzi wa mashindano ya UMISSETA
Mkuu wa Mkoa Amos Makalla akigagua moja ya timu wakati wa uzinduzi wa michuano hiyo kwenye uwanja wa mpira wa Sokoine.
No comments:
Post a Comment