Msumbiji imeathiriwa na hali mbaya ya ukame.
Msumbiji inasema kuwa haina chakula cha kutosha kuwalisha karibu watu milioni moja walioathiriwa na ukame nchini humo.
Takriban watu 40 wameaga dunia. Maeneo makubwa yenye mimea ya kilimo yameharibiwa Huku maelfu ya mifugo wakikufa.
No comments:
Post a Comment