Thursday 19 January 2017

Ziara ya Pengo kwenye Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI

ask2
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiagana na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo  mara baada ya kutembelea   Taasisi hiyo jana.
ask3
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo  alipotembelea  Taasisi hiyo jana. Kushoto ni Afisa Muuguzi Edna Kajuna.
Picha na Anna Nkinda – JKCI

No comments:

Post a Comment