Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais wa Benki ya
Dunia Kanda ya Afrika Makhtar Diop wa kwanza kulia wavivuta kitambaa
kuashiria ufunguzi rasmi wa Awamu ya Kwanza ya Miundombinu na Utoaji
Huduma ya Mabasi yaendayo Haraka katika jiji la Dar es Salaam. Wengine
katika picha ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais –TAMISEMI George
Simbachawene pamoja na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Profesa Makame Mbarawa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Rais –TAMISEMI George Simbachawene na Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa wakati Makamu wa Rais wa
Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Makhtar Diop wakwanza (kulia) akivuta
utepe kuashiria Ufunguzi rasmi wa Awamu ya Kwanza ya Miundombinu na
Utoaji Huduma ya Mabasi yaendayo Haraka katika jiji la Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka kadi ya Kieletroniki katika
Mashine ya UDART ilikuweza kupita kama ishara ya Ufunguzi rasmi wa Awamu
ya Kwanza ya Miundombinu na Utoaji Huduma ya Mabasi yaendayo Haraka
katika jiji la Dar es Salaam. Pembeni yake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais –TAMISEMI George Simbachawene akimuelekeza jambo katika mashine
hizo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais wa Benki ya
Dunia Kanda ya Afrika Makhtar Diop pamoja na viongozi wengine wakikata
utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Awamu ya Kwanza ya Miundombinu na
Utoaji Huduma ya Mabasi yaendayo Haraka katika jiji la Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipita kwenye mashine hizo mara baada
ya uzinduzi wa Awamu ya Kwanza ya Miundombinu na Utoaji Huduma ya
Mabasi yaendayo Haraka katika jiji la Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono kwa wanahabari mara
baada ya kuzindua utoaji huo wa huduma ya usafiri.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia mara baada ya kuendesha
gari la Mwendo Kasi katika kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo Haraka (BRT)
mara baada ya kufungua rasmi Awamu ya Kwanza ya Miundombinu na Utoaji
Huduma ya Mabasi yaendayo Haraka katika jiji la Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia mkono pamoja na Makamu wa
Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Makhtar Diop mara baada ya kutoka
kukagua moja ya basi linalotumika katika utoaji huduma ya Usafiri wa
Haraka (BRT)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo pamoja na Makamu wa
Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Makhtar Diop wakati Msanii Mrisho
Mpoto alipokuwa akitumbuiza.
Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia
Kanda ya Afrika Makhtar Diop akimtunza msani Mrisho Mpoto wakati
alipokuwa akitumbuiza katika kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo Haraka
BRT-Kariakoo huku Rais Dkt. Magufuli akifurahia. PICHA NA IKULU
Na DaudiManongi-MAELEZO.
RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania
Mhe.Dkt.JohnPombeMagufuliameagizakujengwakituokikubwa cha
kupakimagarinakituo cha
daladalailikuwawezeshawananchiwanaotumiamagaribinafsikupakiKimaramwishonakutumiausafiriwamwendokasiilikupunguzamsongamanowamagarikatikaJiji
la Dar es salaam.
RaisMagufuliametoawitohuoleoJijini
Dar es Salaam alipokuwaakizinduaAwamuya Kwanza
yaMiundombinunaUtoajiwaHudumayaMabasiYaendayoHaraka (BRT)
katikaKituoKikuu cha MabasikilichopoKariakooeneola Gerezani.
“Witowangunikwambakunawatuwengiwanamagarimadogomadogonawanatokasehemumbalimbalimpakakufikakituo
cha Kimaramwishonakunaeneokubwa pale la
hifadhiyabarabaraambalohalihitajihatakulipafidiailikulitumia,wananchiwanaonaadhayafoleniiliyopolakinihawanasehemuyakupakimagariyaoiliwatumiemagariyamwendokasi,nawaombamjengekituo
cha magarimadogomadogoeneohili la
Kimarailiwananchihawawafaidikevyemanamradihuu”,aliongezaRaisMagufuli.
AidhaRaisMagufuliametoawitokujengwakwakituo
cha mabasiyadaladalakatikaeneo la
Kimaramwishoilikuwasaidiawananchiwanaofikakatikakituo
chamagariyamwendokasikutopatashidayakuunganishamagariyakwendaMbezinasehemunyinginezaJijikwaniwatakuwanakituorasmi.
AwaliakizungumziamradihuuRaisMagufulialisemakuwailiwachukuaabiriakusafirikwazaidiyamasaamatatukutokaKimarampakapostalakinikukamilikakwamradihuukumesaidiakurahisishaabiriakufikakituo
cha Posta kwakutumiadakika 30 mpaka
40nahivyomradihuukuwakichocheokikubwa cha
uchumikatikamaeneombalimbaliyaJiji la Dar es Salaam.
Alisemakuwakukamilikakwamradihuuwaawamuya
kwanza wenyekilometa 20.9 umetumiajumlayashilingibilioni 403.5 ambapo
Tanzania imechangiabilioni 86.5 naBenkiyaDuniawametukopeshabilioni 317.
Amesemakuwakukamilikakwaawamuya
kwanza
kumekuwachachuyakuanzakwaawamuyapiliambayoitajengwakuanziaGerezanimpakaMbagalaambapompakakufikiaawamuyasitakutalifanyaJiji
la Dar es Salaam kuwa la kisasanasalamazaidinahivyokuwaJijikuu la
Biashara.
RaisMagufuliamewatakawatanzaniakutumiavyemamiundombinuyamabasiyaendayoharakanapiamaderevawamagarimadogokuzingatiasheriakwakutotumianjiahizo.
RaisMagufuliametoashukranikwaBenkiyaDuniakwaushirikianowaomkubwakatikakufanikishamradihuunamiradiminginenchininakuwatakakusaidiakatikakufanikishamradiwakujengwakwabarabarazajuukatikaeneo
la Ubungo na wale
wotewanaohusikakatikakupatamkandarasiwafanikisheharakasualahiloilikusaidiamabasiyaendayoharakakupitakwaurahisinahivyokutimizadhanahalisiyamabasihayo.
No comments:
Post a Comment