Wednesday 18 January 2017

Mgodi wa makaa ya mawe waporomoka China

Mgodi wa makaa ya mawe waporomoka China
Watu 9 wameripotiwa kufariki baada ya mgodi mmoja wa mawe kuporomoka kaskazini mwa China .
Ajali hiyo ilitokea katika mji wa Shanxi unaopatikana katika jimbo la Şuoco nchini China .
Watu 10 pia wameripotiwa kunaswa katika mgodi huo chini ya ardhi.
Mwezi Januari nchini China katika wilaya za Heylongciang, Hinan  na Hubey jumla ya watu 40  wamepoteza maisha katika ajali kadhaa za migodi ya makaa ya mawe.

No comments:

Post a Comment