Wednesday 18 January 2017

Popo apewa jina la Trump Marekani

Popo Nondo apewa jina la Donald Trump
Popo nondo mpya aliyegunduliwa mjini California nchini Marekani ampewa jina baada ya rais mteule wa Marekani Donald Trump.
Jina Neopalpa donaldtrumpi linatokana na nywele zinazofinika kichwa chake ambazo mtafiti huyo wa Canada anazifananisha na na rais huyo mteule.

Popo nondo huyo ambaye ni mdogo anatoka kusini mwa California na jimbo la Baja California nchinbi Mexico.
Ni aina ya kwanza ya popo kupewa jina la Trump.
Rais Obama ana aina tisa ya popo nondo walio na jina lake.

No comments:

Post a Comment