
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Ecowas kupitia gazeti la Freedom
la Gambia, kemikali hiyo ilitegwa kwa lengo la kuua mtu yeyote
atakayeingia ndani ya Ikulu hiyo.
Kutokana na hali hiyo, kiongozi mpya wa Gambia, Adama Barrow anatakiwa
kuendelea kukaa Senegal kwa usalama wake huku uchunguzi ukiendelea
kufanyika.
No comments:
Post a Comment