Sehemu ya jumba
kubwa la kibiashara mjini Mombasa imeporomoka siku chache baada ya Jumba
la makazi kuporomoka jijini Nairobi na kusababisha vifo vya watu zaidi
ya 40.
Sehemu ya Jumba hilo la Nyali Centre, yenye ghorofa sita, iliporomoka usiku wa kuamkia Jumatatu.Monday, 9 May 2016
Ghorofa limeanguka Mombasa
Labels:
MAZINGIRA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment