Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akimsalimia Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubacary bin Zubeiry Ally
wakati alipokwenda nyumbani kwake Mtaa wa Ufipa Kinondoni jijini Dar
es salaam Septemba 19, 2017 kumpa pole kufuatia kifo cha kaka yake Saad
Zubeiry Ally kilichotokea kwee hospitaal ya taifa ya Muhimbili Septemba
18, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa
akizungumz na Sheikh Mkuu wa Tanzani, Mufti Abubacary Zubeiry bin
Ally wakati alipokwenda nyumbani kwake Mtaa wa Ufipa Kinondoni jijini
Dar es salaam Septemba 19, 2017 kumpa pole kufuatia kifo cha kaka yake
Saad Zubeiry Ally kilichotokea kwenye hospitali ya taifa ya Muhimbili
Septemba 18, 2017. Kushoto ni Kadhi Mkuu wa Tanzania , Sheikh Abadallah
Mnyasi
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa
akizungumza na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubacary Zubeiry bin
Ally wakati alipokwenda nyumbani kwake Mtaa wa Ufipa Kinondoni jijini
Dar es salaam Septemba 19, 2017 kumpa pole kufuatia kifo cha kaka yake
Saad Zubeiry Ally kilichotokea kwee hospitaal ya taifa ya Muhimbili
Septemba 18, 2017.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment