Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof.
Ibrahim Juma akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani)
kuhusu mkutano wa kumi wa Chama cha Majaji na Mahakimu wa Jumuiya ya
Madola utakaofanyika tarehe 25 Septemba hadi tarehe 27 Septemba mwaka
huu jijini Dar es Salaam, kushoto ni Jaji Kiongozi Mhe. Ferdinand
Wambali.
Jaji Kiongozi Mhe. Ferdinand
Wambali akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani)
kuhusu mkutano wa kumi wa Chama cha Majaji na Mahakimu wa Jumuiya ya
Madola utakaofanyika tarehe 25 Septemba hadi tarehe 27 Septemba mwaka
huu jijini Dar es Salaam, kulia ni Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof.
Ibrahim Juma.
Rais wa Chama cha Majaji na
Mahakimu nchini Mhe. Ignas Katusi akifafanua jambo kwa waandishi wa
habari (hawapo pichani) kuhusu mkutano wa kumi wa Chama cha Majaji na
Mahakimu wa Jumuiya ya Madola utakaofanyika tarehe 25 Septemba hadi
tarehe 27 Septemba mwaka huu jijini Dar es Salaam, katikati ni Jaji Mkuu
wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma na kushoto ni Jaji Kiongozi Mhe.
Ferdinand Wambali.
Baadhi ya waandishi wa habari
wakimsikiliza Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma (hayupo
pichani) wakati akitoa taarifa kuhusu mkutano wa kumi wa Chama cha
Majaji na Mahakimu wa Jumuiya ya Madola utakaofanyika tarehe 25 Septemba
hadi tarehe 27 Septemba mwaka huu jijini Dar es Salaam.
Picha na Eliphace Marwa – Maelezo
No comments:
Post a Comment