Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia
Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Tulia Ackson (wa tatu kushoto) akiwa na baadhi ya viongozi wakicheza
pamoja na wasanii wa kikundi cha Ngoma cha Wasonjo kutoka Ngorongoro,
wakati wa Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017,
lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani
Mbeya, jana Sep 22, 2017. Picha na Muhidin Sufiani
Wasanii wa Kikundi cha Ngoma
cha Masebe Rungwe, wakicheza jukwaani wakati wa Tamasha la Tulia
Traditional Dances Festival 2017, lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale
Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, jana Sep 22, 2017. Picha na
Muhidin Sufiani
Wasanii wa Kikundi cha Ngoma cha
Keifo Kyela, wakishambulia jukwaa wakati wa Tamasha la Tulia Traditional
Dances Festival 2017, lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu
Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, jana Sep 22, 2017. Picha na Muhidin
Sufiani
Wasanii wa Kikundi cha Ngoma
cha Kanengwa, wakishambulia jukwaa wakati wa Tamasha la Tulia
Traditional Dances Festival 2017, lililofanyika kwenye Uwanja wa Tandale
Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, jana Sep 22, 2017. Picha na
Muhidin Sufiani
Wasanii wa Kikundi cha Ngoma
cha Lipango Mbozi Mkoa wa Songwe, wakishambulia jukwaa wakati wa Tamasha
la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililofanyika kwenye Uwanja
wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, jana Sep 22, 2017.
Picha na Muhidin Sufiani
Majaji wa shindano la ngoma
Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, wakifuatilia burudani
zilizokuwa zikiendelea jukwaani wakati wa Tamasha hilo kwenye Uwanja wa
Tandale, Tukuyu. Picha na Muhidin Sufiani
Wasanii wa Kikundi cha Ngoma
cha Lipango Mbozi Mkoa wa Songwe, wakishambulia jukwaa wakati wa Tamasha
la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililofanyika kwenye Uwanja
wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, jana Sep 22, 2017.
Picha na Muhidin Sufiani
Wasanii wa kundi la kughani
mashahiri ya Asili, Mwandurusa kutoka Kyela, wakighani mashahiri yao
jukwaani wakati wa Tamasha hilo. Picha na Muhidin Sufiani
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia
Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Tulia Ackson (wa tatu kulia) akiwaongoza baadhi ya viongozi na wadau
kucheza Kwaito jukwaani wakati wa Tamasha hilo. Picha na Muhidin Sufiani
Mwanadada maarufu wa kuchezea
mpira,Hadhara Charles, akionyesha umahiri wake jukwaani wakati wa
Tamasha hilo. Picha na Muhidin Sufiani
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia
Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Tulia Ackson, akimtunza fedha mwanadada, Hadhara Charles, maarufu wa
kuchezea mpira,baada ya kuonyesha umahiri wake jukwaani katika Tamasha
hilo. Picha na Muhidin Sufiani
Wasanii wa Kikundi cha Ngoma cha
Wasonjo kutoka Ngorongoro, wakicheza ngoma yao ya asili wakati wa
Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililofanyika kwenye
Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, jana Sep 22,
2017. Picha na Muhidin Sufiani
Waratibu wakimsindikiza msanii wa
filamu nchini Senga, wakati akiwasili uwanjani hapo na ‘kuchafua hali
ya hewa’ baada ya kuanza kufuatwa na wananchi kila alikopita kiasi cha
kumzuia njia asipite kuingia eneo maalumu waliloandaliwa wasanii
wenzake. Picha na Muhidin Sufiani
No comments:
Post a Comment