Msaidizi wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Kanali Mkeremy akibidhi
Rambirambi(kwa niaba ya Mhe. Rais) kwa Mufti wa Tanzania Shekhe
Aboubakar Zubeir ambaye amefiwa na Kaka yake Shekhe Saad Zubeiry Ally
ambaye amefariki katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es
Salaam.
Msaidizi wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Kanali Mkeremy
akizungumza jambo na Mufti wa Tanzania Shekhe Aboubakar Zubeir ambaye
amefiwa na Kaka yake Shekhe Saad Zubeiry nyumbani kwa Marehemu Kinondoni
Mtaa wa Ufipa jijini Dar es Salaam. Wakwanza kushoto ni Naibu
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu.
Msaidizi wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Kanali Mkeremy akiagana
na Shekhe wa mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Salum mara baada ya
kuwasilisha Rambirambi kwa niaba ya Mhe. Rais katika msiba huo uliopo
Kinondoni mtaa wa Ufipa jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment