Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (kulia)
akikaribishwa kwenye kituo cha utamaduni wa Kisukuma Bujora na Mlezi na
Mshauri wa kituo cha utamaduni pamoja na machifu wa Kisukuma Jaji
Mstaafu Mark Bomani
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
(katikati) akizungumza na Machifu wa kisukuma kwenye kituo cha Utamaduni
Bujora, kulia pichani ni Jaji Mstaafu Mark Bomani na kushoto ni Chifu
Charles Kafipa wa Bukumbi mkoani Mwanza
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata
maelezo juu ya nyumba za asili za wasukuma kutoka kwa Mkurugenzi wa
kituo cha Utamaduni wa Kisukuma Padri Fabian Mhoja.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
akiangalia hesabu za kisukuma kwenye kituo cha Bujora mkoani Mwanza.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata
maelezo juu ya utamaduni wa kucheza bao kwenye kituo cha Utamaduni wa
kisukuma Bujora.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
akiangalia zana mbali mbali za kiasili kwenye nyumba ya utamaduni
Bujora.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata
maelezo namna machifu walivyokuwa mashujaa na viongozi hodari.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata maelezo juu ya chuo cha Bujora
Wapiga ngoma wakipiga kwa ufahari ngoma mbele ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
Baadhi ya wageni wakiangalia ngoma mbali mbali zikichezwa kwenye kituo cha Bujora mbele ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
akihutubia wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye kituo cha utamaduni
wa kisukuma Bujora ambapo aliwapongeza kituo hicho kwa kudumisha
utamaduni na kuahidi serikali itaendelea kukisaidia.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye ambaye pia
amepewa jina la Chifu Sangeja( aliyeshika usinga) akiwa kwenye picha ya
pamoja na wasanii kutoka nchini Denmark ambao wanajifunza utamaduni wa
Kisukuma.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia uwanja wa ndani wa Chuo Cha Maendeleo ya Michezo Maly
No comments:
Post a Comment