





Mashindano ya Michezo ya Wanafunzi wa Vyuo vikuu yafunguliwa Rasmi jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya
Michezo kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bw.Leonard
Tadeo akikabidhi Jezi kwa moja ya timu zinazoshiriki katika mashindano
ya michezo yanayohusisha wanafunzi wa vyuo vikuu leo jijini Dar es
Salaam.Wa kwanza kulia kwake ni mwenyekiti wa shirikisho la vyuo vikuu
mkoa wa Dar es Salaam Bw.Imani Matabula.
Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya
Michezo kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bw.Leonard
Tadeo akikagua timu ya chuo kikuu cha Dar es salaam wanaokaa Chuoni
wakati wa ufunguzi wa mashindano ya michezo ya vyuo vikuu yanayofanyika
katika viwanja vya michezo vya chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa shirikisho la vyuo
vikuu mkoa wa Dar es Salaam Bw.Imani Matabula(aliyesimama) akimkaribisha
Mkurugenzi wa Idara ya Michezo kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa
na Michezo Bw.Leonard Tadeo(kushoto) wakati wa ufunguzi wa mashindano
ya michezo ya vyuo vikuu yanayofanyika katika viwanja vya michezo vya
chuo kikuu cha Dar es Salaam.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Wabunhe kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma
Januari 24, 2016. Kutoka kushoto ni Dkt. Raphael Chegeni wa Busega,
Adadi Rajabu wa Mhuheza na Jason Rweikiza wa Bukoba Vijijini. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majlaliwa
akizungumza na wenyeviti wa Kamati za Bunge Ofisini kwake mjini Dodoma
Januari 24, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mbunge wa Busega, Dkt.Raphael Chegeni kwenye jengo la
utawala la Bunge mjini Dodoma Januari 24, 2016.
No comments:
Post a Comment