Katibu Mkuu Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel kulia akiongea na
Kiongozi wa msafara kutoka Serikali ya China jimbo la Jiangxi Bw. Yao
Yaping wa kwanza kushoto kuhusiana na uboreshaji wa sekta ya Utamaduni
na Sanaa baina ya Serikali ya Tanzania na China, katikati ni Kaimu
Mkurugenzi Sanaa Bi. Leah Kihimbi.(Picha na Benjamin Sawe- WHUSM)
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel kulia akiongea na
na Kiongozi wa msafara kutoka Serikali ya China jimbo la Jiangxi Bw.
Yao Yaping wa kwanza kushoto kuhusiana na uboreshaji wa sekta ya
Utamaduni na Sanaa baina ya Serikali Tanzania na China, katikati ni
Kaimu Mkurugenzi Sanaa Bi. Leah Kihimbi.(Picha na Benjamin Sawe- WHUSM).
Kiongozi wa msafara kutoka
Serikali ya China jimbo la Jiangxi Bw. Yao Yaping wa kwanza kushoto
akiongea na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Prof. Elisante Ole Gabriel wa kwanza kulia kuhusiana na uboreshaji wa
sekta ya Utamaduni na Sanaa baina ya Serikali Tanzania na China,
katikati ni Kaimu Mkurugenzi Sanaa Bi. Leah Kihimbi.(Picha na Benjamin
Sawe- WHUSM
: Kiongozi wa msafara kutoka
Serikali ya China jimbo la Jiangxi Bw. Yao Yaping wa kwanza kushoto
akimpa zawadi Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Prof. Elisante Ole Gabriel mara baada ya mazungumzo ya uboreshaji wa
sekta ya Utamaduni na Sanaa baina ya Serikali Tanzania na China,
katikati ni Kaimu Mkurugenzi Sanaa.(Picha na Benjamin Sawe- WHUSM
No comments:
Post a Comment