Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Akizungumza
na Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Benjamini William Mkapa, Ikulu jijini
Dar es Salaam Alipomtembelea leo.Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba Ikulu jijini Dar es
Salaam leo January 7,2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba Ikulu jijini Dar
es Salaam alipomtembelea leo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba Ikulu jijini Dar es
Salaam Baada
No comments:
Post a Comment