

Naibu Waziri wa Kazi,Vijana na
Ajira,Mhe Anthony Mavunde(Kulia) akisisitiza jambo kwa wafanyakazi wa
Vodacom Tanzania,wakati alipotembelea makao makuu ya kampuni hiyo
yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam hivi karibuni kwa ajili ya
kujua kero na maendeleo mbalimbali ya wafanyakazi wa kampuni hiyo.

Naibu Waziri wa Kazi,Vijana na
Ajira,Mhe Anthony Mavunde(Mwenye suti katikati)akimsikiliza Mkuu wa
kitengo cha rasilimali watu wa Vodacom Tanzania, Conrad Msoma (kushoto)
wakati alipotembelea makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Mlimani City
jijini Dar es Salaam hivi karibuni kwa ajili ya kujua kero na maendeleo
mbalimbali ya wafanyakazi wa kampuni hiyo.
No comments:
Post a Comment