Matengenezo ya bomba kubwa la maji yaendelea Kawe-Tegeta
Kazi ya Kuunganisha Bomba la Maji kutoka mtambo wa uzalishaji wa Ruvu Chini ukiendelea katika eneo la Wazo Tegeta.Matengenezo
ya Bomba hili ndiyo yaliyopelekea kuzimwa kwa mtambo wa uzalishaji maji
wa Ruvu Chini ambapo kwa muda wa saa 48 huduma ya maji itakosekana
katika jiji la Dar Es Salaam na Bgamoyo.Afisa
Mtendaji mkuu wa DAWASCO Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza juu ya
matengemezo hayo alipotembelea katika eneo hilo kujionea shughuli
zinavyoendelea.
No comments:
Post a Comment